Advertssssss

Advertssssss

Menu drop

Monday, January 14, 2013

UMASKINI BASI SINGIDA!

Singida ni mkoa wenye fursa nyingi ingawa watu wake ni maskini wa kipato.

kuzalisha umeme wa upepo ni moja ya fursa zilizopo mkoa huu, utakaosaidia kuwekeza katika viwanda kwa kuwepo kwa nishati ya uhakika katika eneo hili.

Nishati hiyo ya upepo ni ya aina ya kipekee kwa kuwa na speed kubwa ukilinganisha na maeno mengine nchini na duniani. jumla ya kampuni mbili zimewekeza kwenye uezalishaji wa nishati hio kwa njia ya upepo.

Mwisho