Advertssssss

Advertssssss

Menu drop

Saturday, October 29, 2016

WATATU WAFARIKI DUNIA NA WEGINE KUJERUHIWA BAADA YA AJALI YA GARI YA NOAH KUACHA NJIA NA KUPINDUKA MKOANI SINGIDA

NA, DORIS MEGHJI IJUMAA OKTOBA 28,2016
SINGIDA

WATU WATATU WAFARIKI DUNIA NA WENGINE KUJERUHIWA BAADA YA AJALI YA GARI KUACHA NJIA NA KUPINDUKA KUTOKANA MWENDOKASI  ILIYOKEA JANA MAJIRA YA SAA MBILI USIKU KATIKA ENEO LA KINDAI TARAFA YA MUNGUMAJI BARABARA KUU YA SINGIDA -DODOMA  LILILO HUSISHA GARI NAMBA T.878 CZY TOYOTA NOAH  MALI YA MCHUNGAJI MICHAELE SALAKA ILIYOKUWA IKIENDESHWA NA GIDION KAMUGISHA  IKITOKEA JIJI DAR- ES SALAAM KUELEKEA MKOANI TABAORA KWA AJILI YA KUHUDHURIA HARUSI

KAIMU KAMANDA WA JESHI LA POLISI MKOANI SINGIDA  MAYALA TOWO  AMEENDELEA KUTOA WITO KWA MADREVA NA WATUMIAJI WA BARABARA KUWA WAANGALIFU WAKIWA BARARABARANI KWA KUWATAKAKA KUCHUKUA TAADHARI KATIKA KILA ENEO WAKATI WAKIWA SAFARINI

FURAHA YAGEUKA KUWA MANJOZI,HII NI KUTOKANA NA AJALI ILIYOWAPATA WAAUMINI WA KANISA LA ASSEMBLIES OF GOD BASIHAYA BUNJU WA JIJINI DAR- ES- SALAAM WAKIELEKEA MKOANI TABORA KWA AJILI YA KUDHURIA HARUSI YA MUUNINI MWENZAO, KAIMU KAMANDA WA JESHO LA POLISI ANATOA TAAFIRA HIYO KWA WANAHABARI

 
WAANDISHI WA HABARI WAKIFUATILIA TAARIFA HIYO YA HABARI KWA KAMANDA WA JESHI LAPOLISI MKOA WA SINGIDA 

 WAKIELEZEA JINSI AJALI HIYO ILIYOTOKEA BAADHI YA MAJERUHI WALIOLAZWA KATIKA WODI NAMBA MBILI HOSPITALI YAMKOA WA SINGIDA WANASEMA MWENDOKASI NDIO CHANZO KIKUBWA CHA AJALI HIYO AMBAPO KILIIFANYA NOAH HIYO KUBILINGITA MARA TATU NA KUSABABISHA VIFO VYA WATU WALILI PAPO HAPO NA MWINGINE KUFIA HOSPITALI.
MPELU BUKUKU MKAZI WA KINONDONI DAR- ES- SALAAM MAJERUHI WA AJALI 


 

2.JOSEPHINE BEDA MKAZI WA BOKO BUNJU DAR- ES- SALAAM MMOJA WA MAJERUHUI 
MWISHO

Friday, October 14, 2016

MAADHIMISHO YA KILELE CHA KUZIMA MWENGE KITAIFA MKOA WA SINGIDA WAADHIMISHA KWA KUFANYA USAFI SOKONI


NA, DORIS MEGHJI IJUMAA OKTOBA 14,2016
SINGIDA 

IKIWA NI SIKU YA SHEREHE  ZA KUZIMA MWENGE NA MAADHIMISHO YA MIAKA 17 YA KIFO CHA BABA WA TAIFA LA TANZANIA MWALIMU  JULIUS KAMBARAGE NYERERE MKOA WA SINGIDA KATIKA MOJA YA HALMASHAURI YAKE YA MANISPAA YA SINGIDA IMEAMUA KUFANYA USAFI KATIKA ENEO AMBALO LINAWAKUTANISHA WANANCHI WENGI KUPATA MAHITAJI YAO KWA KUSAFISHA SOKO KUU LA MANISPAA YA SINGIDA  HUKU SUALA LA ZOEZI LA USAFI KUENDELEA KUHAMASISHWA NA VIONGOZI WA WILAYA YA SINGIDA 

 
MJASIRIAMALI WA BIDHAA ZA MBOGA MBOGA SOKO KUU SINGIDA SIKU YA MAADHIMISHO YA NYERERE DAY NA UZIMWAJI WA MWENGE KITAIFA NA WIKI YA VIJANA 

MKUU WA WILAYA YA SINGIDA NA WATAALAMU WA MANISPAA YA SINGIDA WAKILIVAMIA SOKO KUU NA KUFANYA USAFI KATIKA MAENEO MUHIMU, MKUU WA WILAYA YA SINGIDA ANATOA MAELEKEZO KUHUSU USAFI

ELIUS TARIMO MKUU WA WILAYA YA SINGIDA 

LICHA YA MKUU HIYO KUWATAKA WANANCHI KUFANYA USAFI NA KUIRUDISHA SINGIDA KATIKA HADHI YA KUWA WA KWANZA MANISPAA YA SINGIDA IMEJIPANGAJE IMEJIPANGA VYEMA KWA KUHAKIKISHA KILA MTAA UNAYO KAMATI ZA USAFI NA HUKU SUALA LA MOTISHA KWA MITAA ITAKAYOFANYA VIZURI KUPEWA KIPAUMBELE NA ASLIMIA 40 YA FEDHA ZINAZOKUSANYWA KUTOTAKANA NA KUZOA UCHAFU KUBAKISHWA KWENYE MITAA ILI SINGIDA IRUDI KUWENYE NAMBA MOJA YA USAFI KITAIFA 


 DEUS LUZIGAKAIMU MKURUGENZI WA MANISPAA YA SINGIDA 

 HATA HIVYO WANANCHI WA MKOA HUU WAMEKUWA NA MAONI TOFAUTI KUHUSU FEDHA ZA ZILIZOUOKOLEWA MH. RAIS KWA AWAMU YA TANO KWA KUTIKA MIKOA IADHIMISHE SHERERHE HIZO KWENYE MIKOA YAO ZIELEKEZWE KWENYE ELIMU NA AFYA ILI ZIWEZE KUSAIDIA WANANCHI WOTE WA TANZANIA 

ATHUMANI SIMA KATIBU WA WAZEE WA SOKO KUU LA MANISPAA YA SINGIDA 
MWISHO 

SERA YA HABARI NA UTANGAZAJI YATAKIWA KUWABEBA WAANDISHI WA NGAZI ZOTE ZA HABARI KITAALUMA PINDI SERA IKIPITISWA SERIKALI YASHAURIWA

NA, DORIS MEGHJI ALHAMIS OKTOBA 13,2016
SINGIDA

SERA MPYA YA HABARI NA UTANGAZAJI INAYAOTARAJIWA KUPITISHWA ILI SHERIA NA SERA ZAKE ZIANZEKUTUMIKA NCHINI, SERIKALI IMESHAURIWA KUANGALIA VIZURI SERA HIYO HASA KATIKA KIPENGELEA CHA MAFUNZO YA WANAHABARI KUTAKIWA KULENGA NGAZI YA ELIMU YA JUU KWA KUWATAKA WAANDISHI HAO WAE WAMEHITIMU ELIMU YA JUU,USHAURI  UMETOLEWA ENEO KWA KUITAKA SERA IWABEBE WAANDISHI WOTE WA TAALUMA HIYO YA HABARI

 STEPHEN CHIMALO   AFISA MIRADI YA KIJAMII NA ELIMU TOKA UBALOZI WA SWEEDEN [SIDA]  AMETOA USHAURI JUU YA SERA HIYO  ALIPOTEMBELEA KLABU YA WAANDISHI WA HABARI MKOA WA SINGIDA IKIWA MOJA YA MIRADI INAYOSAIDIWA NA SIDA KUPITIA MUUNGANO WA KLABU ZA WAANDISHI WA HABARI NCHINI.[UTPC]

STEPHEN CHIMALO AFISA MIRADI YA KIJAMII NA ELIMU TOKA UBALOZI WA SWEEDEN
LIKIWA NI MOJA YA JUKUMU KUBWA LINAWATAKA WANANCHI NA WADAU WA SEKTA YA HABARI NCHINI KUTOA MAONI YAO JUU SERA HIYO IPITISHWE NA KUANZA KUTUMIKA WAMILIKI WA VYOMBO VYA HABARI WAKIWA WADAU WA KUU WAKO TAYARI KIASI GANI KUAJIRI WANATAALUMA WENYE ELIMU YA JUU

JAMES BUHANZO MMILIKI WA CHOMBO CHA HABARI MKOANI SINGIDA 
LICHA YA SERA HIYO KUELEKEZA MAFUNZO YA WANAHABARI KULENGA NGAZI YA ELIMU YA JUU CHUO KIKUU HURIA KIKIWA NI MOJA YA CHUO KINACHOTAOA TAALUMA HIYO KIKOTAYRI  KUWAFUNZA WANAHABARI NCHINI
MWISHO 

Thursday, October 6, 2016

SOKO LA UHAKIKA LA ASALI LA KIMATAIFA LAPATIKANA


NA. Doris Meghji ALHAMISI OKTOBA 07,2016
SINGIDA
Wananchi mkoani Singida wametakiwa kutumia fursa ya uhakika wa soko la asali  la kimataifa liliojitokeza kwa asali yao kuaminiwa  kimataifa imefahamika

hilo limejitokeza leo kwa kaimu mkurugenzi mkuu wa TANTRADE NCHINI kwenye ufunguzi wa mafunzo ya uwezeshaji wafanyabiashara wadogo na wakati wa sekta ya nyuki,bidhaa ya asali ili kulifikia soko la ushindani  kwa wananchi waliojikita katika sekta ya ufugaji nyuki mkoani SINGIDA  huku suala la kujiunga katika umoja wao kutiliwa mkazo kwenye Ufunguzi wa mafunzo hayo.
EDWIN  RUTAGERUKA KAIMU MKURUGENZI MKUU WA MAMLAKA YA MAENDELEO YA BIASHARA TANZANIA - TANTRADE
Asali ni moja ya zao la misitu la kipaumbele mkoani hapa, soko zuri la zao hili lilikuwa  changamoto kwa wajasiriamali wa zao hilo hasa kwa kutakiwa kufuga kisasa na kuchakata kisasa kwa asali yao kisasa kwa uhakika wa soko.


Aidha katika kufungua mafunzo hayo mkuu wa mkoa wa singida  amewataka wananchi wake kuzalisha asali ya kutosha ili iweze kukidhi mahitaji ya viwanda vilivyopo vya kuchakata asali huku suala vifungashio nalo kuliongelea pia
Mhandisi  MATHEW MTIGUMWE MKUU WA MKOA WA SINGIDA

Rais wa chama cha ushirika wa vijana wajasiriamali na wataalam wa miradi mkoanini singida ametaka vijana kujitumia fursa hiyo ya soko wa zao hilo.
PHILIMON KIHEMI RAIS WA CHAMA CHA USHRIKA WA VIJANA WAJASIRIAMALI NA WATAALAM WA MIRADI MKOA WA SINGIDA 


Hata hivyo mkoa wa SINGIDA  ni mkoa wa pili kwa kuzalisha asali nchini

 









KAYA 16,000 KUFIKIWA KATIKA UTAFITI WA HALI YA MAAMBUKIZI YA UKIMWI NCHINI IKIWA SAMPULI WAKILISHI YA WATANZANIA KWENYE UTAFITI HUO


NA,DORIS MEGHJI JUMATANO OKTOBA 05,2016
SINGIDA


Jumla ya kaya kumi na sita elfu zinatarijiwa kufikiwa katika utafiti wa hali ya maambukizi ya  Ukimwi nchini ambapo watanzania 42,000 wakiwemo watoto wapatao elfu 8  ikiwa ni sampuli  wakirishi ya watanzania wote nchini wanatarajiwa kufikiwa kwa lengo la kupima na kujua hali ya maambukizi ya ukimwi kila baada ya miaka minne nchini.

Mkuu wa kitengo cha mawasiliano wa ICAP ametoa maelezo hayo kwenye moja ya kikao cha wadau wa ukimwi mkoani singida katika kutolea maelezo suala la waandishi wa habari kufikisha ujumbe sahihi juu ya utafiti huo kwa wananchi ili waweze kujitokeza kupima bure afya zao bila malipo

Ukimwi ni moja ya gonjwa linalowasumbua watanzania wengi  na kusababisha yatima na tegemezi wengi, kupatikana kwa takwimu za tafiti mbali mbali za magonjwa zitasaidia sana mipango mbali mbali kufanyika katika kukabilina tatizo hilo kwa upande wa wananchi wako tayari kiasi gani kushiriki kwenye zoezi hilo la utafiti.


Wadau wakuu wa utafiti huo kwa kushirikiana na kitingo cha ctc toka Shirika la Marekani la Chuo Kikuu cha Columbia [ICAP] anaelezea lengo la utafiti huo kwa mwaka huu.


Mihayo  Mageni Lupamba mkuu wa kitengo cha mawasiliano ICAP

Mhandisi Mathew Mtigumwe mkuu wa mkoa wa singida amewasisitiza wananchi wake watoe ushirikiano wa kutosha kwenye utafiti huo



Mhandisi Mathew Mtigumwe Mkuu wa mkoa wa Singida

MWISHO
Attachments area

Friday, July 1, 2016

SERIKALI KUU YAOMBWA KUPELEKA MAFUNGU YA FEDHA KWENYE HALMASHAURI ILI KUPUNGUZA HOJA ZA KISERA ZINAZOTOLEWA NA CAG

Na, Doris Meghji Jumanne Juni 28,2016
Singida
Halmashauri nchini zinaoimba seriakli kuu kupeleka mafungu ya fedha zinazotakiwa kupelekwa kwenye halamshauri hizo ili kupunguza hoja za  kisera zinatolewa na mdhibiti na mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali nchini kwenye halmashauri hizo

Ombi hilo limetolewa na mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya ya Mkalama James Mkwega katika kikao  maalum cha baraza la madiwani katika kujibu hoja za mdhibiti na mkaguzi mkuu wa hesabu ya serilikali zilitolewa kwa halmashauri hiyo