NAKUTAKIA MIAKA 53 YA UHURU WA TANGANYIKA MWEMA MUNGU AWABARIKI WAPENDWA WTE WA KARIBU SINGIDA BLOGSPOT.
Tuesday, December 9, 2014
LEO TANZANIA BARA INAADHIMISHA NA KUSHEREHEKEA MIAKA 53 YA UHURU
Mwalimu Julius Kambarage Nyerere akiinua juu bango likionyesha sasa Tanganyika Huru toka kwa mkoloni mwaka 1961.
![]() |
| Mwalimu Julius Kambarage Nyerere Baba wa Taifa letu akiwasili uwanja wa Uhuru jijini Dare- es salaam mwaka 1961 akiungana na wananchi wa Tanganyika kusherehekea sikukuu ya Uhuru miaka 53 iliyopita. |
Friday, November 28, 2014
ZIKIWA ZIMEBAKI SIKU CHACHE KUMALIZIKA KWA ZOEZI LA KUANDIKISHA WANANCHI KATIKA DAFTARI LA WAPIGA KURA - KWENYE UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA 2014
ZOEZI LA KUJIANDIKISHA KWENYE DAFTARI LA KUPIGA KURA KWA AJILI YA CHAGUZI ZA SERIKALI ZA MITAA - MANISPAA YA SINGIDA.
![]() |
| Bi Angelina Mwagoa Karani mwandikishaji wa daftari la kupiga kura Kituo cha SIDO kwa ajili ya wananchi wa mtaa wa Stesheni - Kata ya Utemini Manispaa ya Singida.(picha na Doris Meghji) |
Wednesday, October 15, 2014
MATUKIO KATIKA PICHA YA KILELE CHA MBIO ZA MWENGE WA UHURU 2014 - MKOANI TABORA
![]() |
| Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikiwete akiwa na Mwenge wa Uhuru - kwenye kilele cha mbio za mwenge wa uhuru Mkoani Tabaora |
![]() |
| Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikiwete akiwa katika picha ya pamoja na wakimbiza mwenge wa uhuru kitaifa mwaka huu kwenye viwanja vya Ali Hassan Mwinyi - mkoani Taboro |
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikiwete akilihutubia Taifa kwenye Kilele cha mbio za mwenge Mwaka huu mkoani Tabora katika viwanja vya Ali Hassan Mwinyi.
Tuesday, October 14, 2014
KAULI MBIU ZA MBIO ZA MWENGE WA UHURU NA UJUMBE WA KUDUMU 2014
“KATIBA NI SHERIA KUU YA NCHI”
Yenye kauli mbiu ya Jitokezi
kupiga kura ya Maoni tupate katiba Mpya
Aidha kupitia ujumbe wa
kudumu wa Mwenye wa UHURU kuhusu mapambano dhidi ya UKWIMI mwaka 2014 ni
“ Maambukizi Mapya
,Unyanyapaa na Vifo vitokanavyo na UKIMWI SIFURI”
Huku katika suala la
mapambano dhidi ya Rushwa na madawa ya kulenvya kauli mbiu ni
“PALIPO NA RUSHWA HAKUNA MAENDELEO na FURAHIA AFYA YAKO SIO DAWA ZA
KULEVYA”
KAULI MBIU YA MWENGE WA UHURU MWAKA 2014 -
KAULI MBIU YA MBIO ZA MWENGE MWAKA HUU
"KATIBA NI SHERIA KUU YA NCHI JITOKE KUPIGA KURA."
KILELE CHA MBIO ZA MWENGE WA UHURU NA KUMBUKUMBU YA BABA WA TAIFA HAYATI MWALIMU JULIUS KAMBARAGE NYERERE KINAFANYIKA LEO MKOANI TABORA
KATIKA UWANJA WA ALI HASSAN MWINYI
HII NI BAADA YA KUKIMBIZWA KATIKA MIKOA YOTE NA HALMASHAURI ZOTE ZA WILAYA NDANI YA JAMUHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
MWENGE WA UHURU ULIANZA KUKIMBIZWA RASMI MWAKA 1964 MARA TU BAADA YA MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBAR
MADHUMUNI MAKUBWA YA MBIO ZA MWENYE WA UHURU NI KUHAMASISHA AMANI UMOJA NA MSHIKAMANO WA TAIFA
KILELE CHA MBIO ZA MWENGE WA UHURU NA KUMBUKUMBU YA BABA WA TAIFA HAYATI MWALIMU JULIUS KAMBARAGE NYERERE KINAFANYIKA LEO MKOANI TABORA
KATIKA UWANJA WA ALI HASSAN MWINYI
HII NI BAADA YA KUKIMBIZWA KATIKA MIKOA YOTE NA HALMASHAURI ZOTE ZA WILAYA NDANI YA JAMUHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
MWENGE WA UHURU ULIANZA KUKIMBIZWA RASMI MWAKA 1964 MARA TU BAADA YA MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBAR
MADHUMUNI MAKUBWA YA MBIO ZA MWENYE WA UHURU NI KUHAMASISHA AMANI UMOJA NA MSHIKAMANO WA TAIFA
Subscribe to:
Posts (Atom)

























.jpg)
.jpg)









.jpg)

