Mwalimu Julius Kambarage Nyerere akiinua juu bango likionyesha sasa Tanganyika Huru toka kwa mkoloni mwaka 1961.
Mwalimu Julius Kambarage Nyerere Baba wa Taifa letu akiwasili uwanja wa Uhuru jijini Dare- es salaam mwaka 1961 akiungana na wananchi wa Tanganyika kusherehekea sikukuu ya Uhuru miaka 53 iliyopita. |
No comments:
Post a Comment