Na, Doris Meghji Jumanne Juni 28,2016
Singida
Halmashauri nchini zinaoimba seriakli
kuu kupeleka mafungu ya fedha zinazotakiwa kupelekwa kwenye halamshauri hizo
ili kupunguza hoja za kisera zinatolewa
na mdhibiti na mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali nchini kwenye halmashauri
hizo
Ombi hilo limetolewa na mwenyekiti wa
halmashauri ya wilaya ya Mkalama James Mkwega katika kikao maalum cha baraza la madiwani katika kujibu
hoja za mdhibiti na mkaguzi mkuu wa hesabu ya serilikali zilitolewa kwa
halmashauri hiyo