Na, Doris Meghhji Jumatatu Juni 27,2016
Singida
Naibu waziri OFISI YA RAIS TAWALA ZA
MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA SULEIMAN JAFO
ameziagiza halmashauri zote nchini
kuhakikisha zinakuwa na hati miliki za
viwanja na majengo yote ya taasisi mbali mbali zikiwemo shule na vituo vya afya
ili kuekupa wavamizi wa maeneo hayo kwa kutokuwa na hati miliki
Agizo hilo hilo amelitoa wilayani
Mkalama katika ziara yake ya kikazi mkoani Singida mara baada ya kupokea
taarifa ya ujenzi wa ofisi ya halmashauri hiyo inayojengwa na kampuni ya Mzinga
Holiding toka Morogoro kwa gharama ya zaidi ya shilingi MILIONI 700 mkoani Singida
No comments:
Post a Comment