Saturday, May 28, 2016
Tuesday, May 24, 2016
MABIGWA WA MIKOA YA DODOMA NA ARUSHA WAANZA KUTIMUA VUMBI VIWANJA VYA NAMFUA STADIAM - MKOANI SINGIDA
Na Doris Meghji Jumatatu Mei 23,2016
Singida
Timu ya Veyula FC toka Dodoma yenye jezi
nyeuzi na Pepsi FC ya Arusha vyenje jezi Nyekundi zimefungua dima leo kwa timu
zote kuambulia sifuri kwenye mechi za ligi ya mabingwa wa mikoa iliyochezwa
katika viwanja vya Namfua mkoani Singida
huku timu ya Pepsi FC kuchezesha wachezaji tisa katika mtangange huo
TOC YATOA MAFUNZO YA UONGOZI NA UTAWALA KWA WALIMU NA VIONGOZI WA MICHEZO MKOANI SINGIDA
Na, Doris Meghji Jumanne Mei 24, 2016
Singida
Mafunzo ya kuwajengea uwezo walimu wa michezo na viongozi wa vyama mbali mbali
wa michezo mkoani Singida yameanza leo kwa Kamati ya Olimpksi Tanzania (TOC)
kutoa mafunzo ya uongozi na utawala ili kuweza kuendeleza michezo hiyo nchini
lengo likiwa ni kuvumbu na kuendeleza
vipaji nchini kwa washiriki 30 kupewa mafunzo hayo ambayo yatadumu kwa muda wa siku tano mkoani
hapo
Tuesday, May 17, 2016
SINGIDA KUWA KITUO CHA MECHI YA LIGI YA MABIGWA WA MIKOA - MIKOA SABA KUPANGIWA SINGIDA
Na, Doris Meghji Jumanne Mei 17,2016
Singida
Jumla ya timu saba za mabingwa wa mikoa toka mikoa ya Arusha,
Dodoma,Manyara, Kilimanjaro, Kagera,Tabora na Njombe zinatarajiwa kuingia Mei 20 mkoani Singida tayari kwa kuanza mechi za ligi
ya kutamfuata bingwa wa mabingwa kupitia kituo cha Singida
Wadaua
na wapenzi wa soka mkoa wa singida wameishukuru TFF kuufanya mkoa wa Singida
kuwa moja ya kituo cha mechi za ligi hiyo kwa kuzikaribisha timu hizo kutoka
mikoa hiyo
Tuesday, May 10, 2016
HALI YA USAFI INAHITAJIKA KATIKA MANDA WA NJIA PANDA- MKOA WA SINGIDA
Na, Doris Meghji Jumanne MEI 10,2016
Singida
Hali ya usafi katika mnada wa njia panda
unaoziunganisha halmashauri za Ikungi na Singida vijijini kata ya Mugh'amu unahitajika
katika kulinda afya za watuamiaji wa mnanda huo mkoani Singida
licha ya mnada huo kuipatia halimashauri
mapato ya ndani kila Jumamosi baadhi ya
wananchi wa eneo hilo wanaiomba halmashuri hiyo kuangalia suala la usafi hasa
upatikanaji wa maji katika eneo la machinjio ikiwa ni pamoja na vyoo eneo hilo
Wananchi na wakazi wa eneo la njia panda
eneo ambalo ni maarufu hasa siku za
Jumamosi kwa uwepo wa na mnada ambapo wananchi mbali mbali hufika kupata
mahitaji
INSERT:
1.ISMAILY JUMA RANGI MKAZI WA NJIA PANDA
2.SAUMU RAJABU MKAZI WA NJIA PANDA
Kero hizi sitatuliwa vipi ili kulinda
afya za wananchi na watumiaji wa manda huo Eliaha Diga ni Mwenyekiti wa
halmashuri ya wilaya ya Singida
INSERT:
ELIAH DIGHA MWENYEKITI WA HALAMSHURI YA
WILAYA YA SINGIDA
Kutoka Singida mimi ni Doris Meghji wa AZAM
NEWS
Subscribe to:
Posts (Atom)