Na, Doris Meghji Jumanne MEI 10,2016
Singida
Hali ya usafi katika mnada wa njia panda
unaoziunganisha halmashauri za Ikungi na Singida vijijini kata ya Mugh'amu unahitajika
katika kulinda afya za watuamiaji wa mnanda huo mkoani Singida
licha ya mnada huo kuipatia halimashauri
mapato ya ndani kila Jumamosi baadhi ya
wananchi wa eneo hilo wanaiomba halmashuri hiyo kuangalia suala la usafi hasa
upatikanaji wa maji katika eneo la machinjio ikiwa ni pamoja na vyoo eneo hilo
Wananchi na wakazi wa eneo la njia panda
eneo ambalo ni maarufu hasa siku za
Jumamosi kwa uwepo wa na mnada ambapo wananchi mbali mbali hufika kupata
mahitaji
INSERT:
1.ISMAILY JUMA RANGI MKAZI WA NJIA PANDA
2.SAUMU RAJABU MKAZI WA NJIA PANDA
Kero hizi sitatuliwa vipi ili kulinda
afya za wananchi na watumiaji wa manda huo Eliaha Diga ni Mwenyekiti wa
halmashuri ya wilaya ya Singida
INSERT:
ELIAH DIGHA MWENYEKITI WA HALAMSHURI YA
WILAYA YA SINGIDA
Kutoka Singida mimi ni Doris Meghji wa AZAM
NEWS
No comments:
Post a Comment