Na, Doris Meghji Jumanne Mei 17,2016
Singida
Jumla ya timu saba za mabingwa wa mikoa toka mikoa ya Arusha,
Dodoma,Manyara, Kilimanjaro, Kagera,Tabora na Njombe zinatarajiwa kuingia Mei 20 mkoani Singida tayari kwa kuanza mechi za ligi
ya kutamfuata bingwa wa mabingwa kupitia kituo cha Singida
Wadaua
na wapenzi wa soka mkoa wa singida wameishukuru TFF kuufanya mkoa wa Singida
kuwa moja ya kituo cha mechi za ligi hiyo kwa kuzikaribisha timu hizo kutoka
mikoa hiyo
No comments:
Post a Comment