Advertssssss

Advertssssss

Menu drop

Wednesday, October 15, 2014

MATUKIO KATIKA PICHA YA KILELE CHA MBIO ZA MWENGE WA UHURU 2014 - MKOANI TABORA

Kiongozi wa mbio za mwenge wa uhuru 2014 Rachel Kasanda akimkabidhi  Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete Mwenge wa Uhuru kwenye kilele cha maadhimisho ya kuzima mwenye wa uhuru na kumbu kumbu ya  kifo cha Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere Oktoba 14,2014 kwenye Viwanja vya Ali Hassan Mwinyi Mkoani Tabora - Kulia ni waziri wa Habari,Vijana ,Utamaduni na Michezo Dkt. Fenela Mkangara


Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikiwete akiwa na Mwenge wa Uhuru - kwenye kilele cha mbio za mwenge wa uhuru Mkoani Tabaora

Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikiwete akiwa katika picha ya pamoja na wakimbiza mwenge wa uhuru kitaifa mwaka huu kwenye viwanja vya Ali Hassan Mwinyi - mkoani Taboro


Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikiwete akilihutubia Taifa kwenye Kilele cha mbio za mwenge  Mwaka huu mkoani Tabora  katika viwanja vya Ali Hassan Mwinyi.

Tuesday, October 14, 2014

KAULI MBIU ZA MBIO ZA MWENGE WA UHURU NA UJUMBE WA KUDUMU 2014


“KATIBA NI SHERIA KUU YA NCHI”
Yenye kauli mbiu ya Jitokezi kupiga kura ya Maoni tupate katiba Mpya


Aidha kupitia ujumbe wa kudumu wa Mwenye wa UHURU kuhusu mapambano dhidi ya UKWIMI mwaka 2014 ni
“ Maambukizi Mapya ,Unyanyapaa na Vifo vitokanavyo na UKIMWI SIFURI”
Huku katika suala la mapambano dhidi ya Rushwa na madawa ya kulenvya kauli mbiu ni
“PALIPO NA RUSHWA HAKUNA MAENDELEO na FURAHIA AFYA YAKO SIO DAWA ZA KULEVYA”



KAULI MBIU YA MWENGE WA UHURU MWAKA 2014 -

KAULI MBIU YA MBIO ZA MWENGE MWAKA HUU 

"KATIBA NI SHERIA KUU YA NCHI JITOKE KUPIGA KURA."


KILELE CHA MBIO ZA MWENGE WA UHURU NA KUMBUKUMBU YA BABA WA TAIFA HAYATI MWALIMU JULIUS KAMBARAGE NYERERE KINAFANYIKA LEO MKOANI TABORA

KATIKA UWANJA WA ALI HASSAN MWINYI 

HII NI BAADA YA  KUKIMBIZWA KATIKA MIKOA YOTE  NA HALMASHAURI ZOTE ZA WILAYA NDANI YA JAMUHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

MWENGE WA UHURU  ULIANZA KUKIMBIZWA RASMI MWAKA 1964 MARA TU  BAADA   YA MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBAR 

MADHUMUNI  MAKUBWA YA MBIO ZA MWENYE WA UHURU NI KUHAMASISHA AMANI  UMOJA NA MSHIKAMANO WA TAIFA 


MIAKA 15 BILA - MWALIMU JULIUS KAMBARAGE NYERERE - LEO INAADHIMISHWA MKOANI TABORA


KARIBU SINGIDA BLOG INAUNGANA NA WATANZANIA WOTE  KUADHIMISHA MIAKA 15 BAADA YA KIFO CHA MWALIMU.