“KATIBA NI SHERIA KUU YA NCHI”
Yenye kauli mbiu ya Jitokezi
kupiga kura ya Maoni tupate katiba Mpya
Aidha kupitia ujumbe wa
kudumu wa Mwenye wa UHURU kuhusu mapambano dhidi ya UKWIMI mwaka 2014 ni
“ Maambukizi Mapya
,Unyanyapaa na Vifo vitokanavyo na UKIMWI SIFURI”
Huku katika suala la
mapambano dhidi ya Rushwa na madawa ya kulenvya kauli mbiu ni
“PALIPO NA RUSHWA HAKUNA MAENDELEO na FURAHIA AFYA YAKO SIO DAWA ZA
KULEVYA”
No comments:
Post a Comment