|
Kiongozi wa mbio za mwenge wa uhuru 2014 Rachel Kasanda akimkabidhi Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete Mwenge wa Uhuru kwenye kilele cha maadhimisho ya kuzima mwenye wa uhuru na kumbu kumbu ya kifo cha Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere Oktoba 14,2014 kwenye Viwanja vya Ali Hassan Mwinyi Mkoani Tabora - Kulia ni waziri wa Habari,Vijana ,Utamaduni na Michezo Dkt. Fenela Mkangara |
|
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikiwete akiwa na Mwenge wa Uhuru - kwenye kilele cha mbio za mwenge wa uhuru Mkoani Tabaora |
|
Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikiwete akiwa katika picha ya pamoja na wakimbiza mwenge wa uhuru kitaifa mwaka huu kwenye viwanja vya Ali Hassan Mwinyi - mkoani Taboro |
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikiwete akilihutubia Taifa kwenye Kilele cha mbio za mwenge Mwaka huu mkoani Tabora katika viwanja vya Ali Hassan Mwinyi.
No comments:
Post a Comment