Advertssssss

Advertssssss

Menu drop

Tuesday, October 14, 2014

KAULI MBIU YA MWENGE WA UHURU MWAKA 2014 -

KAULI MBIU YA MBIO ZA MWENGE MWAKA HUU 

"KATIBA NI SHERIA KUU YA NCHI JITOKE KUPIGA KURA."


KILELE CHA MBIO ZA MWENGE WA UHURU NA KUMBUKUMBU YA BABA WA TAIFA HAYATI MWALIMU JULIUS KAMBARAGE NYERERE KINAFANYIKA LEO MKOANI TABORA

KATIKA UWANJA WA ALI HASSAN MWINYI 

HII NI BAADA YA  KUKIMBIZWA KATIKA MIKOA YOTE  NA HALMASHAURI ZOTE ZA WILAYA NDANI YA JAMUHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

MWENGE WA UHURU  ULIANZA KUKIMBIZWA RASMI MWAKA 1964 MARA TU  BAADA   YA MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBAR 

MADHUMUNI  MAKUBWA YA MBIO ZA MWENYE WA UHURU NI KUHAMASISHA AMANI  UMOJA NA MSHIKAMANO WA TAIFA 


No comments:

Post a Comment