Na, Doris Meghji Ijumaa Disemba 17,2015
Singida
Baadhi ya wananchi mkoa wa singida wameuomba mfuko wa bima ya
Afya ya taifa (NHIF) kupunga kiwango cha kuchagia malipo ya huduma za afya ili
uweze kuwasadia wananchi waliowengi
kupitia mpango mpya wa KIKOA
ulioanzishwa na mfuko huo nchini.
Wakiongea kwa nyakati tofauti kuhusu
mfuko huo ni kutokana na pato la mwananchi wa kawaida kuwa dogo hivyo waomba
mfuko huo kupunguza kiwango hicho kutoka 76,800 kwa mwananchi mmoja kwa mwaka
hadi kufika 30,000/- kwa mwaka.
No comments:
Post a Comment