Na, Doris Meghji Jumamosi Januari
23,2016
Singida
Serikali NCHINI yaombwa kuviainisha VIVUTIO MBALI MBALI VYA VYA UTALII ili kusaidia sekta ya utalii ikue katika
uendeleazaji wa sekta hiyo nchini
Ombi hilo limetolewa na mmoja wa
wawekezaji katika sekta ya utalii kwenye
eneo hoteli mkoani singida ili kusaidia
kuongeza ajira nchini
Uwekezaji wa hoteli ni moja ya sekta zinazotatua changamoto ya
ajira kwa kuajiri wananchi nchini,hivyo serikali yaombwa kuanisha VIVUTIO ili
kusaidia ukuaji wa Sekta hiyo
INSERT
KITILAELI KATALA MWEKEZAJI WA HOTELI YA
KBH MKOANI SINGIDA
Kwa uapande wa utoaji ajira wa sekata
hiyo Kitila anashauri.
INSERT
KITILAELI KATALA MWEKZAJI SEKTA YA
HOTELI MKOA WA SINGIDA
Katika kulitolea maelezo suala la uainishaji
wa VIVUTIO HIVYO Afisa maliasili mkoa wa Singida CHARELES KIDUA kwa kushirikiana na Wizara ya
maliasili na utalii jumala ya vivutio 22 vimetambuliwa mkoani Singida kazi ya
uhariri na maelezo muhimu unaendelea,pindi kazi hiyo ikikamilika vivituio hivyo
vitawekwa hadharai kwa wadau wote wa sekta ya utalii mkoani hapa
MWISHO