Na, Doris Meghji Jumatatu Januari
11,2016
Singida
Tansnia ya sanaaa ya filamu nchini bado inakabiliwa na changamoto ya kutoungwa
mkono toka kwa wadau na wapenzi wa sanaa ya filamu hasa kwa wasanii wa mikoa ya pembezooni licha ya sanaa hiyo kutoa fursa
ya ajira kwa vijana wengi.
Mmoja wa wasanii wa filamu mkoani
Singida amewaomba wadau na wapenzi wa filamu kuwaunga mkono katika kazi yao ya
sanaa ambayo wameitoa kwa sasa ya THE PROSIME OF THE PAIN.
Taarifa zaidi na Doris Meghji
Upsound
Sarah Mshana
Msanii wa sanaa ya filamu mkoa wa Singida
kwa upande wa wananchi wa mkoa wa
Singida wanatoa maoni gani katika kuendeleza sanaa hiyo
INSERT:
1.REHEMA SHILLA DIWANI WA VITI MAALUM CCM MANISPAA YA SINGIDA
2. ROSEMARY KISHEKE MKAZI WA MANISPAA YA SINGIDA
kutoka Singida Doris Meghji
No comments:
Post a Comment