Na, Doris Meghji Jumapili
Januari 17,2016
Singida
Mechi za ligi daraja la tatu, mashindano
ya timu za mikoa yameanza wiki hii kwa timu mbali mbali kutimua vumbi kwenye
mikoa nchini
Mkoani singida jumla ya timu 12
zinashiriki mashindano hayo,ambapo timu ya Stand Misuna ya singida mjini imeichapa RV sposts club 5 kwa 0 kwenye mechi
yao jana iliyochezwa mchana huku timu ya Mlimani FC ya Manyoni na Saba saba ya singida mjini kutoka
sare kwa KUFUNGANA magoli mawili kwenye
mechi hizo.
No comments:
Post a Comment