Advertssssss

Advertssssss

Menu drop

Thursday, January 28, 2016

VIVUTIO VYA UTALII VYATAKIWA KUAINISHWA - MKOANI SINGIDA

Na, Doris Meghji Jumamosi Januari 23,2016
Singida

Serikali NCHINI yaombwa kuviainisha VIVUTIO  MBALI MBALI VYA VYA UTALII  ili kusaidia sekta ya utalii ikue katika uendeleazaji wa sekta  hiyo nchini
Ombi hilo limetolewa na mmoja wa wawekezaji  katika sekta ya utalii kwenye eneo  hoteli mkoani singida ili kusaidia kuongeza ajira nchini

Uwekezaji  wa hoteli  ni moja ya sekta zinazotatua changamoto ya ajira kwa kuajiri wananchi nchini,hivyo serikali yaombwa kuanisha VIVUTIO ili kusaidia ukuaji wa Sekta hiyo

INSERT
KITILAELI KATALA MWEKEZAJI WA HOTELI YA KBH MKOANI SINGIDA

Kwa uapande wa utoaji ajira wa sekata hiyo Kitila anashauri.

INSERT

KITILAELI KATALA MWEKZAJI SEKTA YA HOTELI MKOA WA SINGIDA

Katika kulitolea maelezo suala la uainishaji wa VIVUTIO HIVYO Afisa maliasili mkoa wa Singida  CHARELES KIDUA kwa kushirikiana na Wizara ya maliasili na utalii jumala ya vivutio 22 vimetambuliwa mkoani Singida kazi ya uhariri na maelezo muhimu unaendelea,pindi kazi hiyo ikikamilika vivituio hivyo vitawekwa hadharai kwa wadau wote wa sekta ya utalii mkoani hapa
MWISHO

1 comment:

  1. Casinos Near Casinos Near Casinos in WV | MapyRO
    Searching for Casinos Near Casinos Near WV? 하남 출장마사지 · The Best 춘천 출장샵 Casinos in WV · 강원도 출장마사지 Golden 부천 출장안마 Nugget Casino · Red River 보령 출장안마 Casino · Caesars Casino · Red Lion Casino

    ReplyDelete