NA, DORIS MEGHJI IJUMAA OKTOBA 28,2016
SINGIDA
WATU WATATU WAFARIKI DUNIA NA WENGINE
KUJERUHIWA BAADA YA AJALI YA GARI KUACHA NJIA NA KUPINDUKA KUTOKANA MWENDOKASI ILIYOKEA JANA MAJIRA YA SAA MBILI USIKU
KATIKA ENEO LA KINDAI TARAFA YA MUNGUMAJI BARABARA KUU YA SINGIDA -DODOMA LILILO HUSISHA GARI NAMBA T.878 CZY TOYOTA
NOAH MALI YA MCHUNGAJI MICHAELE SALAKA
ILIYOKUWA IKIENDESHWA NA GIDION KAMUGISHA
IKITOKEA JIJI DAR- ES SALAAM KUELEKEA MKOANI TABAORA KWA AJILI YA
KUHUDHURIA HARUSI
KAIMU KAMANDA WA JESHI LA POLISI MKOANI
SINGIDA MAYALA TOWO AMEENDELEA KUTOA WITO KWA MADREVA NA WATUMIAJI
WA BARABARA KUWA WAANGALIFU WAKIWA BARARABARANI KWA KUWATAKAKA KUCHUKUA
TAADHARI KATIKA KILA ENEO WAKATI WAKIWA SAFARINI
FURAHA YAGEUKA KUWA MANJOZI,HII NI KUTOKANA
NA AJALI ILIYOWAPATA WAAUMINI WA KANISA LA ASSEMBLIES OF GOD BASIHAYA BUNJU WA
JIJINI DAR- ES- SALAAM WAKIELEKEA MKOANI TABORA KWA AJILI YA KUDHURIA HARUSI YA
MUUNINI MWENZAO, KAIMU KAMANDA WA JESHO LA POLISI ANATOA TAAFIRA HIYO KWA
WANAHABARI
WAANDISHI WA HABARI WAKIFUATILIA TAARIFA HIYO YA HABARI KWA KAMANDA WA JESHI LAPOLISI MKOA WA SINGIDA |
WAKIELEZEA JINSI AJALI HIYO ILIYOTOKEA BAADHI
YA MAJERUHI WALIOLAZWA KATIKA WODI NAMBA MBILI HOSPITALI YAMKOA WA SINGIDA
WANASEMA MWENDOKASI NDIO CHANZO KIKUBWA CHA AJALI HIYO AMBAPO KILIIFANYA NOAH HIYO KUBILINGITA MARA TATU NA KUSABABISHA VIFO VYA WATU WALILI PAPO HAPO NA MWINGINE KUFIA HOSPITALI.
MPELU BUKUKU MKAZI WA KINONDONI DAR- ES-
SALAAM MAJERUHI WA AJALI |
2.JOSEPHINE BEDA MKAZI WA BOKO BUNJU
DAR- ES- SALAAM MMOJA WA MAJERUHUI
MWISHO