NA, DORIS MEGHJI ALHAMIS OKTOBA 13,2016
SINGIDA
SERA MPYA YA HABARI NA UTANGAZAJI INAYAOTARAJIWA KUPITISHWA ILI SHERIA NA SERA ZAKE ZIANZEKUTUMIKA NCHINI, SERIKALI IMESHAURIWA KUANGALIA VIZURI SERA HIYO HASA KATIKA KIPENGELEA CHA MAFUNZO YA WANAHABARI KUTAKIWA KULENGA NGAZI YA ELIMU YA JUU KWA KUWATAKA WAANDISHI HAO WAE WAMEHITIMU ELIMU YA JUU,USHAURI UMETOLEWA ENEO KWA KUITAKA SERA IWABEBE WAANDISHI WOTE WA TAALUMA HIYO YA HABARI
STEPHEN CHIMALO AFISA MIRADI YA KIJAMII NA ELIMU TOKA UBALOZI WA SWEEDEN [SIDA] AMETOA USHAURI JUU YA SERA HIYO ALIPOTEMBELEA KLABU YA WAANDISHI WA HABARI MKOA WA SINGIDA IKIWA MOJA YA MIRADI INAYOSAIDIWA NA SIDA KUPITIA MUUNGANO WA KLABU ZA WAANDISHI WA HABARI NCHINI.[UTPC]
STEPHEN CHIMALO AFISA MIRADI YA KIJAMII NA ELIMU TOKA UBALOZI WA SWEEDEN |
LIKIWA NI MOJA YA JUKUMU KUBWA LINAWATAKA WANANCHI NA WADAU WA SEKTA YA HABARI NCHINI KUTOA MAONI YAO JUU SERA HIYO IPITISHWE NA KUANZA KUTUMIKA WAMILIKI WA VYOMBO VYA HABARI WAKIWA WADAU WA KUU WAKO TAYARI KIASI GANI KUAJIRI WANATAALUMA WENYE ELIMU YA JUU
JAMES BUHANZO MMILIKI WA CHOMBO CHA HABARI MKOANI SINGIDA |
LICHA YA SERA HIYO KUELEKEZA MAFUNZO YA WANAHABARI KULENGA NGAZI YA ELIMU YA JUU CHUO KIKUU HURIA KIKIWA NI MOJA YA CHUO KINACHOTAOA TAALUMA HIYO KIKOTAYRI KUWAFUNZA WANAHABARI NCHINI
MWISHO
No comments:
Post a Comment