NA, DORIS MEGHJI IJUMAA OKTOBA 14,2016
SINGIDA
IKIWA NI SIKU YA SHEREHE ZA KUZIMA MWENGE NA MAADHIMISHO YA MIAKA 17 YA KIFO CHA BABA WA TAIFA LA TANZANIA MWALIMU JULIUS KAMBARAGE NYERERE MKOA WA SINGIDA KATIKA MOJA YA HALMASHAURI YAKE YA MANISPAA YA SINGIDA IMEAMUA KUFANYA USAFI KATIKA ENEO AMBALO LINAWAKUTANISHA WANANCHI WENGI KUPATA MAHITAJI YAO KWA KUSAFISHA SOKO KUU LA MANISPAA YA SINGIDA HUKU SUALA LA ZOEZI LA USAFI KUENDELEA KUHAMASISHWA NA VIONGOZI WA WILAYA YA SINGIDA
MJASIRIAMALI WA BIDHAA ZA MBOGA MBOGA SOKO KUU SINGIDA SIKU YA MAADHIMISHO YA NYERERE DAY NA UZIMWAJI WA MWENGE KITAIFA NA WIKI YA VIJANA |
MKUU WA WILAYA YA SINGIDA NA WATAALAMU WA MANISPAA YA SINGIDA WAKILIVAMIA SOKO KUU NA KUFANYA USAFI KATIKA MAENEO MUHIMU, MKUU WA WILAYA YA SINGIDA ANATOA MAELEKEZO KUHUSU USAFI
ELIUS TARIMO MKUU WA WILAYA YA SINGIDA |
LICHA YA MKUU HIYO KUWATAKA WANANCHI KUFANYA USAFI NA KUIRUDISHA SINGIDA KATIKA HADHI YA KUWA WA KWANZA MANISPAA YA SINGIDA IMEJIPANGAJE IMEJIPANGA VYEMA KWA KUHAKIKISHA KILA MTAA UNAYO KAMATI ZA USAFI NA HUKU SUALA LA MOTISHA KWA MITAA ITAKAYOFANYA VIZURI KUPEWA KIPAUMBELE NA ASLIMIA 40 YA FEDHA ZINAZOKUSANYWA KUTOTAKANA NA KUZOA UCHAFU KUBAKISHWA KWENYE MITAA ILI SINGIDA IRUDI KUWENYE NAMBA MOJA YA USAFI KITAIFA
DEUS LUZIGAKAIMU MKURUGENZI WA MANISPAA YA SINGIDA |
HATA HIVYO WANANCHI WA MKOA HUU WAMEKUWA NA MAONI TOFAUTI KUHUSU FEDHA ZA ZILIZOUOKOLEWA MH. RAIS KWA AWAMU YA TANO KWA KUTIKA MIKOA IADHIMISHE SHERERHE HIZO KWENYE MIKOA YAO ZIELEKEZWE KWENYE ELIMU NA AFYA ILI ZIWEZE KUSAIDIA WANANCHI WOTE WA TANZANIA
ATHUMANI SIMA KATIBU WA WAZEE WA SOKO KUU LA MANISPAA YA SINGIDA |
MWISHO
No comments:
Post a Comment