Advertssssss

Advertssssss

Menu drop

Saturday, October 29, 2016

WATATU WAFARIKI DUNIA NA WEGINE KUJERUHIWA BAADA YA AJALI YA GARI YA NOAH KUACHA NJIA NA KUPINDUKA MKOANI SINGIDA

NA, DORIS MEGHJI IJUMAA OKTOBA 28,2016
SINGIDA

WATU WATATU WAFARIKI DUNIA NA WENGINE KUJERUHIWA BAADA YA AJALI YA GARI KUACHA NJIA NA KUPINDUKA KUTOKANA MWENDOKASI  ILIYOKEA JANA MAJIRA YA SAA MBILI USIKU KATIKA ENEO LA KINDAI TARAFA YA MUNGUMAJI BARABARA KUU YA SINGIDA -DODOMA  LILILO HUSISHA GARI NAMBA T.878 CZY TOYOTA NOAH  MALI YA MCHUNGAJI MICHAELE SALAKA ILIYOKUWA IKIENDESHWA NA GIDION KAMUGISHA  IKITOKEA JIJI DAR- ES SALAAM KUELEKEA MKOANI TABAORA KWA AJILI YA KUHUDHURIA HARUSI

KAIMU KAMANDA WA JESHI LA POLISI MKOANI SINGIDA  MAYALA TOWO  AMEENDELEA KUTOA WITO KWA MADREVA NA WATUMIAJI WA BARABARA KUWA WAANGALIFU WAKIWA BARARABARANI KWA KUWATAKAKA KUCHUKUA TAADHARI KATIKA KILA ENEO WAKATI WAKIWA SAFARINI

FURAHA YAGEUKA KUWA MANJOZI,HII NI KUTOKANA NA AJALI ILIYOWAPATA WAAUMINI WA KANISA LA ASSEMBLIES OF GOD BASIHAYA BUNJU WA JIJINI DAR- ES- SALAAM WAKIELEKEA MKOANI TABORA KWA AJILI YA KUDHURIA HARUSI YA MUUNINI MWENZAO, KAIMU KAMANDA WA JESHO LA POLISI ANATOA TAAFIRA HIYO KWA WANAHABARI

 
WAANDISHI WA HABARI WAKIFUATILIA TAARIFA HIYO YA HABARI KWA KAMANDA WA JESHI LAPOLISI MKOA WA SINGIDA 

 WAKIELEZEA JINSI AJALI HIYO ILIYOTOKEA BAADHI YA MAJERUHI WALIOLAZWA KATIKA WODI NAMBA MBILI HOSPITALI YAMKOA WA SINGIDA WANASEMA MWENDOKASI NDIO CHANZO KIKUBWA CHA AJALI HIYO AMBAPO KILIIFANYA NOAH HIYO KUBILINGITA MARA TATU NA KUSABABISHA VIFO VYA WATU WALILI PAPO HAPO NA MWINGINE KUFIA HOSPITALI.
MPELU BUKUKU MKAZI WA KINONDONI DAR- ES- SALAAM MAJERUHI WA AJALI 


 

2.JOSEPHINE BEDA MKAZI WA BOKO BUNJU DAR- ES- SALAAM MMOJA WA MAJERUHUI 
MWISHO

No comments:

Post a Comment