Advertssssss

Advertssssss

Menu drop

Thursday, April 17, 2014

MANISPAA YA SINGIDA YAPITISHA TAMKO LA KUVIFUTA VIJIJI

Na, Doris Meghji  Alhamis  April 17,2014
Singida

Habari katika picha

Waheshimiwa madiwani wa Manispaa ya Singida wakiwa pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Singida Dr. Parseko Kone Mwl Queen Mulozi Mkuu wa wilaya ya Singida, Mh. Stahik Meya wa Manispaa ya Singida Shekhe Salum Mahame  na mwenyekiti Hango wa mkutano huo wa wadau wa uadaaji wa mpango wa jumla wa manispaa ya Singida. ( Picha na Doris Meghj)
Picha ya waheshimiwa Madiwani wa Manispaa ya Singida ( Picha na Doris Meghji)

Mheshimiwa Solomo Diwani wa Kata ya Kindai na Mh. Sarah Alute diwani viti Maalum wakifuatiala mjadala katika mkutano huo wa wadau ndani ya Manispaa ya Singida.(Picha na Doris Meghji)
Baadhi ya wadau wakifuatila presentation ya Afisa mipango miji juu ya maoni yaliyotolewa na baadhi ya wananchi katika kata juu ya uhabarisho wa kubadili vijiji kuja kwenye mitaa ndani ya manispaa ya Singida (picha Doris Meghji)

Afisa mipango miji akisikiliza kwa makini swali na maoni toka kwa wadau mara baada ya kuwasilisha mada (picha na Doris Meghji)


Baadhi ya wadau wa mkutano wa mpango kabambe wa mipango miji manispaa ya Singida (picha Doris Meghji)



Mh.diwani wa Kata ya Mandewa na Diwani wa viti maalum wakifuatilia majadiliano katika mada ya sheria za vijiji kuwa mtaa(picha na Doris Meghji)






No comments:

Post a Comment