Tarehe 26/04/1964 Tanganyika na Zanzibar ziliungana na kuunda Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania. Jana ilikuwa ni maadhimisho ya miaka 50 ya Muungano sherehe zilizofanyka katika uwaja wa Taifa Dar-es-Salaam. Baadhi ni picha za matukio ya maadhimisho hayo
Rais wa Jamhuri ya Muungano Dk.Jakaya M.Kikwete akiiwapungia wahudhuriaji wa sherehe za miaka 50 ya Muungano |
Rais Kikwete akikagua vikosi vya ulinza na usalama katika maadhimisho ya miaka 50 ya Muungano |
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Gharibu Bilali akisalimia na Mfalme wa Swaziland MfalmeMuswati III |
JWTZ wakipita kwa ukakamavu |
Kikosi cha Komando wakipita kwa ukakamavu mbele ya Amiri jeshi Mkuu wa majeshi ya Ulinzi na Usalama Dk Jakaya Kikwete |
Wanajeshi kikosi cha Komando wakionyesha namna ya kupambana na adui bila kutumia siraha kataka sherehe za maadhimisho ya miaka 50 ya Muungano |
Vifaa vya kivita pia vilipitishwa katika madhimisho ya miaka 50 ya Muungano |
Baadhi ya wananchi waliohudhuria sherehe za mika 50 ya Muungano |
Hii pia iliwashangaza wengi |
No comments:
Post a Comment