Joseph Mchina Mkureugenzi wa Manispaa ya Singida akifanya mahojiano na waandishi wa habari juu ya Mpango huo.
Diwani Mhe.Yagi Kiaratu akifanya Mahojiano kuhusu mpango kabambe wa manispaa ya Singida katika suala zima la sheria ya Ardhi ya kuvifuta vijiji kwenye manispaa.
Moses Ikaku diwani wa kata ya Unyamikumbi kata ambayo ina vijiji ambavyo kwa sasa vinatakiwa kufutwa na kuwa mitaa ndani ya Manispaa ya Singida
Mpiga picha Doris Meghji
No comments:
Post a Comment