HABARI
KATIKA PICHA- LEO JUMAMOSI MEI 30,2015
ZIARA
YA KUTEMBELEA ZOEZI LA UANDIKISHAJI DAFTARI LA KUDUMU LA WA WAPIGA KURA YA JAJI
DAMIAN LUBUVA MWENYEKITI WA TUME YA UCHAGUZI YA TAIFA KATIKA JIMBO LA SINGIDA MJINI
HAPA AKIONGEA NA WADAU WA TUME HIYO YA UCHAGUZI KATIKA OFISI YA MKURUGENZI WA
MANISPAA YA SINGIDA
|
Jaji Damian Lubuva Akiongea na wadau wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi jimbo la Singida Mjini leo katika ofis ya Mkurugenzi wa manispaa ya Singida Pembeni ni Joeseph Mchina Mkurugenzi wa manispaa ya Singida ( Picha na Doris Meghji) | | | |
|
|
Kushoto ni mkurugenzi wa manispaa ya Singida Joseph Mchina akiwa na Marandu katibu tawala msaidizi mkoa wa serikali za mitaa mkoa wa singida na kulia ni Athumani Masesa afisa wa Tume ya uchaguzi katibu wa Mwenyekiti (picha na Doris Meghji) |
|
|
Baadhi ya maafisa waandikishaji wa daftari la kudumu la wapiga kura wa manispaa ya Singida (Picha na Doris Meghji) |
|
Kulia ni Magdalena Ndwete Katibu wa CCM wilaya ya Singida Mjini,Kushoto ni Mollel Mchumi wa CCM wilaya ya Singida mjini (picha na Doris Meghji) |
|
Viongozi wa vyama vya siasa Kulia ni Katibuwa CHADEMA wilaya ya Singida Mjini,katikati Katibu msaidi wa UVCCM wilaya ya Singida mjini,kushoto ni Katibu mwenezi wa CUF Singida mjini(Picha na Doris Meghji) | |
|
Jaji Lubuva na wadau wa tume hiyo ambao ni viongozi wa vyama vya Siasa Jimbo la Singida mjini (picha na Doris Meghji) | | | | |
|
No comments:
Post a Comment