Advertssssss

Advertssssss

Menu drop

Friday, July 1, 2016

SERIKALI KUU YAOMBWA KUPELEKA MAFUNGU YA FEDHA KWENYE HALMASHAURI ILI KUPUNGUZA HOJA ZA KISERA ZINAZOTOLEWA NA CAG

Na, Doris Meghji Jumanne Juni 28,2016
Singida
Halmashauri nchini zinaoimba seriakli kuu kupeleka mafungu ya fedha zinazotakiwa kupelekwa kwenye halamshauri hizo ili kupunguza hoja za  kisera zinatolewa na mdhibiti na mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali nchini kwenye halmashauri hizo

Ombi hilo limetolewa na mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya ya Mkalama James Mkwega katika kikao  maalum cha baraza la madiwani katika kujibu hoja za mdhibiti na mkaguzi mkuu wa hesabu ya serilikali zilitolewa kwa halmashauri hiyo

HALMASHAURI ZAAGIZWA KUHAKIKISHA ZINAKUWA NA HATI MILIKI ZA VIWANJA NA MAJENGO - JAFO AZITAKA ZIFANYE HIVYO

Na, Doris Meghhji Jumatatu Juni 27,2016
Singida

Naibu waziri OFISI YA RAIS TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA  SULEIMAN JAFO  ameziagiza halmashauri zote nchini kuhakikisha zinakuwa na  hati miliki za viwanja na majengo yote ya taasisi mbali mbali zikiwemo shule na vituo vya afya ili kuekupa wavamizi wa maeneo hayo kwa kutokuwa na hati miliki

Agizo hilo hilo amelitoa wilayani Mkalama katika ziara yake ya kikazi mkoani Singida mara baada ya kupokea taarifa ya ujenzi wa ofisi ya halmashauri hiyo inayojengwa na kampuni ya Mzinga Holiding toka Morogoro kwa gharama ya zaidi ya shilingi MILIONI  700  mkoani Singida

Tuesday, May 24, 2016

KLINIKI TEMBEZI YAHITAJIKA KUISAIDIA JAMII YA ALBINO MKOANI SINGIDA


MABIGWA WA MIKOA YA DODOMA NA ARUSHA WAANZA KUTIMUA VUMBI VIWANJA VYA NAMFUA STADIAM - MKOANI SINGIDA




Na Doris Meghji Jumatatu Mei 23,2016
Singida  
Timu ya Veyula FC toka Dodoma yenye jezi nyeuzi na Pepsi FC ya Arusha vyenje jezi Nyekundi zimefungua dima leo kwa timu zote kuambulia sifuri kwenye mechi za ligi ya mabingwa wa mikoa iliyochezwa katika viwanja vya  Namfua mkoani Singida huku timu ya Pepsi FC kuchezesha wachezaji tisa katika mtangange huo

TOC YATOA MAFUNZO YA UONGOZI NA UTAWALA KWA WALIMU NA VIONGOZI WA MICHEZO MKOANI SINGIDA



Na, Doris Meghji Jumanne Mei 24, 2016
Singida

Mafunzo ya kuwajengea uwezo walimu  wa michezo na viongozi wa vyama mbali mbali wa michezo mkoani Singida yameanza leo kwa Kamati ya Olimpksi Tanzania (TOC) kutoa mafunzo ya uongozi na utawala ili kuweza kuendeleza michezo hiyo nchini
lengo likiwa ni kuvumbu na kuendeleza vipaji  nchini  kwa washiriki 30 kupewa mafunzo hayo  ambayo yatadumu kwa muda wa siku tano mkoani hapo