Singida
vijana na biashara ya kuku wa kienyeji - manispaa ya singida |
Mkoa wa Singidaa umebarikiwa kwa ufugaji kuku wa kienyeji,zao la kuku limewekwa kuwa ni moja ya zao la biashara kutokana na bei nzuri na soko la uhakika lililop ndani na nje ya mkoa wa Singida
Hawa ni baadhi ya wafanyabiashara wa kuku katika mkoa huu wa singida na hivi ndivyo wanavyotembeza kuku mitaani ili kuwauzia wananchi na wakazi wa manispaa ya singida ikiwa bei ya sasa ya kuku mmoja hupatikana kwa kiasi cha shilingi 10000/=
Hivi ndivyo baadhi ya vijana wakiwa wanajishulisha na biashara ya kuuza kuku ili kujiongezea kipato.
No comments:
Post a Comment