Advertssssss

Advertssssss

Menu drop

Wednesday, March 5, 2014

WMO _ YAANZA KUTEKELEZA MRADI KWA KUKABIDHI MIZINGA 80 KWA VIKUNDI VINNE VYA WANAWAKE WAFUGAJI NYUKI MKOA WA SINGIDAA

Awila Silla Katibu wa Waandishi wa Habari Wanawake mkoa wa Singida akisoma risala  mbele ya mkuu wa mkoa wa Singida katika halfa fupi ya kukabidhi mizinga ya kisasa ya  nyuki kwa vikundi vinne toka wilaya Ikungi na Singida vya wanawake wafugaji nyuki. jana katika eneo la Sido Manispaa ya Singida(Picha Doris Meghji)
Baadhi ya viongozi toka wikundi vinne vya wanawake wafugaji nyuki wa wiliaya ya Singida na Ikungi wakikisiliza kwa makini hotuba ya mgeni Rasmi kwenye halfa fupi ya kukabidhiwa mizinga 80 ya kisasa ya nyuki toka kwa chama cha waandishi wa habari wanawake (WMO) mkoa wa Singida.(picha na Doris Meghji)

Bwana. Charles Kidua Afisa Maliasili Mkoa wa Singia akisoma taarifa ya  shughuli za maliasili na ufugaji Nyuki za mkoa wa Singida kwa mkuu wa mkoa wa Singida kwenye hafla ya kukabidhi mizinga 80 kwenye vikundi vinne vya ufugaji nyuki - jana eneo la Sido manispaa ya Singida.(picha na Doris Meghji)

MWL> QUEEN MULOZI - DC singida akitoa salama kwa wananchi na vikundi vya ufugsji nyuki kwenye Hafla fupi ya kukabishi Mizinga 80 toka kwa WMO mkoa wa singida kwa vikundi vinne vya wanawake wafugaji nyuki.(Picha na Doris Meghji)


DR. Parseko Kone Mkuu wa mkoa wa singida aki hutubia wananchi na viongozi wa serikali wakiwa pamoja na viongozi wa  vikundi vinne vya wanawake wafugaji nyuki toka wilaya ya Ikungi na Singida vilivyopewa mizinga 80 ya kisasa ya nyuki (Picha na Doris Meghji)






RC Singida. Dr. Parseko Kone akiwa katikati ,kulia ni MWL Queen Mulozi DC wa  singida  kushoto ni Evarista Lucas mwenyekiti wa chama cha waandishi wa habari wanawake mkoa wa Singida .(picha na Doris Meghji)

Bi Evarista Lucas Mwenyekiti WMO mkoa wa Singida akitoa salam  katika hafla fupi ya kukabidhi mizinga 80 ya kisasa kwa vikundi ninne vya  wanawake wafugaji nyuki mkoa wa singida (picha na Doris Meghji)






No comments:

Post a Comment