Advertssssss

Advertssssss

Menu drop

Monday, October 7, 2013

MAGAZETI LEO 07 OKTOBA 2013

MAGAZETI LEO O7 OKTOBA 2013

 soma magazeti hapa



































BARCLAYS PREMIER LEAGUE TABLE 

POS
LP CLUB P W D L GF GA GD PTS
1 (2) Arsenal 7 5 1 1 14 8 6 16
2 (1) Liverpool 7 5 1 1 11 5 6 16
3 (6) Chelsea 7 4 2 1 10 4 6 14
4 (7) Southampton 7 4 2 1 7 2 5 14
5 (3) Manchester City 7 4 1 2 17 8 9 13
6 (4) Tottenham Hotspur 7 4 1 2 6 5 1 13
7 (5) Everton 7 3 3 1 10 9 1 12
8 (8) Hull City 7 3 2 2 6 7 -1 11
9 (9) Manchester United 7 3 1 3 10 9 1 10
10 (10) Aston Villa 7 3 1 3 9 8 1 10
11 (11) Newcastle United 7 3 1 3 9 12 -3 10
12 (12) West Bromwich Albion 7 2 3 2 7 6 1 9
13 (18) West Ham United 7 2 2 3 7 5 2 8
14 (13) Cardiff City 7 2 2 3 7 9 -2 8
15 (14) Swansea City 7 2 1 4 8 11 -3 7
16 (16) Stoke City 7 2 1 4 4 7 -3 7
17 (17) Fulham 7 2 1 4 5 9 -4 7
18 (15) Norwich City 7 2 1 4 5 9 -4 7
19 (19) Crystal Palace 7 1 0 6 5 13 -8 3
20 (20) Sunderland 7 0 1 6 5 16 -11 1
POS
LP CLUB P W D L GF GA GD PTS

Sunday, October 6, 2013

MAGAZETI 6 OKTOBA2013

MAGAZETI LEO 06 OKTOBA2013


















Latest Scholarship and Fellowship Opportunities

 
 
 
 
 
 
 
 
The Graduate School of Business at UCT offer five annual Bertha MBA Scholarships to students that have met the requirements for the MBA programme and who are driven by their pursuit in social or green ventures… More
 
The Developing Solutions Scholarship Fund will reach out to students who have the potential to make a real difference to the development and prosperity of their home countries… More
 
The NGS Scholarship is awarded to talented students with an aptitude for innovative, high calibre PhD research… More
 
The new Academic Excellence International Masters Scholarship supports overseas students who are funding their own studies at the University of Essex… More
 

ZAO LA MTAMA LAPATIWA UFUMZUZI MKOANI SINGIDA



Na, Doris Meghji Jumanne Julai 23,2013
Singida

Serikali mkoani singida imeziagiza mamlaka za serikali za mitaa kuongeza juhudi katika kuwawasidia wananchi wake kwa  halmashauri hizo kununua mashine tano za kupura zao la mtama ikiwa ni moja ya jitihada za kutatua changamoto zinazolikabili  zao hilo kwa uzalishaji  kuleta tija likiwa ni zao la kipaumbele mkoani  Singida

Mkuu wa mkoa wa Singida Dr. Parseko Kone ametoa agizo hilo katika kikao cha wadau wa maendeleo kikao ambacho kililenga kuwawezesha wananchi kupunguza upotevu wa zao la mtama baada ya mavuno kutokana na teknolojia duni zinazotumika katika kupura na kuhifadhi zao hilo.

 “nimefuatilia wananchi wa singida wanapata shida sana wakati wa kuvuna mtama au uwele kwa kupiga ualika watu katika kupura mtama, watu ishirini (20) wanapura gunia mmoja kwa siku moja ili kuwasaidia wananchi kuachana na adha hiyo ya kupura mtama tutafute namna ya kupata hizo mashine ambayo mmoja inauzwa shilling milioni 2 kwa kila halmashauri kununua mashine tano(5) na kuziweka makao makuu ya kata iliyovuna vizuri mazao hayo ya mtama na uwele” alisisitiza Dr. Kone.

Aidha amesema kupatikana kwa mashine hizo zenye uwezo wa kupura mtama gunia 10 kumi kwa saa kutasaidiwa wananchi kutumia muda na kuhifadhi mazingira kwa kuwa upuraji wa mtama  kwa njia ya kawaida utumia matawi ya mti, hivyo matawi ishrini hutumika kupura gunia mmoja la mtama kwa siku.

Kwa upande wake katibu tawala msaidizi wa uchumi na uzalishaji Bi Aziza Mumba amezitaja changamoto mbali mbali zinazolikabili zao hilo kuwa ni upatikanaji mdogo wambegu bora,athari za magugu hatari yanayoitwa viduha, ndege waharibifu aina quelea quelea ikiwa ni pamoja na  teknologia duini zinazotumika katika kupura na kuhifadhi mtama inayosababisha upotevu mkubwa wa mtama kwa kupoteza asilimia 30 ya mazao baada ya mavuno.

Aidha kwa mujibu wa bi Mumba amesema katika kuogenzea thamani mazao hayo ya mtama na uwele juhudi mbali mbali zinaendelea,suala la uenezaji wa matumizi ya mashine za kupura mtama ili kumpuguzia mkulima uzito wa kazi za kilimo.

Mkoa wa singida katika kipindi cha msimu wa kilimo mwaka 2010/2011 hadi 2011/2012 zaidi ya tani 476090 zilivunwa za mazao ya mtama na uwele

MWISHO.

Thursday, October 3, 2013

DC EDWAERD OLE LENGA - AKATAA TAARIFA YA BARABARA YA WILAYA YA MKALAMA KUJADILIWA KWENYE KIKAO CHA BODI YA BARABARA MKOANI SINGIDA

Na, Doris Meghji  Jumatatu  Septemba 24,2013
Singida

Singida Mkuu wa wilaya ya Mkalama Edward Lenga amekiomba kikao cha 35 cha bodi ya barabara(ROADBOARD) mkoani Singida  kutojadili  taarifa ya utekelezaji wa miradi ya barabara ya Wilaya hiyo kutokana taarifa hiyo kuwa ya ni ya kupika kwa kuandaliwa na mkurugenzi wa wilaya ya Iramba na sio mkurugenzi wa halmashauri ya wilaya ya Mkalama .

Akitoa ombi hilo kwa mwenyekiti wa kikao hicho cha bodi ya barabara mkoa wa Singida ambaye ni mkuu wa mkoa wa singida DKT. Parseko Kone  mara baada ya taarifa ya  miradi ya barabara wilaya ya Mkalama kusomwa mbele ya mweneyekiti na wajumbe wa kikao hicho mkuu wa wilaya ya mkalama Bwana Edward Lenga alisema “hakuna kujadili habari juu ya Mkalama asilimia 53 fedha zimetumika kwa kazi gani? Wakati hakuna miradi yoyote ya barabara inayotekelezwa wilayani mkalama? Alisema mkuu huyo wa wilaya 

Hivyo mkuu huyo wa wilaya amekiomba kikao hicho cha bodi ya barabara kuunda kamati ili iende kutembelea na kuangalia miradi hiyo ya barabara iliyoonyeshwa kwenye taarifa hiyo. 

Awali akiosoma taarifa hiyo ya wilaya ya mkalama Mbele ya wajumbe wa kikao hicho Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya mkalama bwana Hassan Mwachibuzi  alisema katika mwaka wa fedha 2013/2014 wilaya ya mkalama imeidhinishiwa jumla ya shilingi milioni 879,981757.00 kwa ajili ya ukarabati na matengezo ya kawaida,matengenezo ya sehemu korofi ,matengenezo ya sehemu maalum na matengenezo ya madaraja kwa kipindi hicho cha fedha.

  Kwa mujibu wa taarifa hiyo ya mkalama, mkurugenzi halmashauri  wa wilaya ya mkalama amesema katika ya kipindi cha Julai – Agosti 2013 toka mfuko wa barabara iliidhinishwa jumla ya shilingi milioni 464 431,450.00 kwa mwaka wa fedha 2012/2013 hadi kufikia Agosti 30, 2013 sawa na asilimia 100 ya bajeti hivyo hadi sasa jumla ya shilingi million 246,032,563.00 ya fedha zimetumika sawa na  asilimia 53 za matengenezo ya barabara iliyopokelewa wilayani humo.

 Hata hivyo kikao hicho kimeridhia kuundwa kwa kamati itakayokwenda  kupitia miradi ya barabara ya wilaya ya mkalama na kuwataka wajumbe wa kikao hicho toka Mkalama kuainisha miradi ya barabara wanazotilia shaka lengo ilikiwa ni kurahisisha utekelezaji wa kamati hiyo kwa kuwa wananchi wanazihitaji barabara hizo kwa maendeleo yao na taifa kwa ujumla. 

Wilaya ya mkalama ni moja kati ya wilaya zalizoundwa hivi karibuni ambapo wilaya hiyo umeundwa toka wilaya ya Iramba mkoani singida .

Mwisho