HABARI KATIKA PICHA LEO KATIKA MADHIMISHO YA KUZALIWA CCM
|
Kijana mmoja akipewa kadi ya chama cha mapinduzi leo katika viwanja va peoples akipewa na Mbunge wake Mohamed Dewji (picha na Doris Meghji) |
|
Mohamed Dewji akimkabidhi mmoja wa wanacnhi wa manispaa ya Singida(Picha na Doris Meghji) |
|
Baadhi ya wananchi waliofika katika viwanja va peoples kumsiliza mbunge wao Mohamed Dewji (picha na Doris Meghji) |
|
Baadhi a wanachama wapya wakiapa katika viwanja va peoles mara baada a kukabidhiwa kadi cha uanachama wa ccm na jumuhia zake (picha na Doris Meghji) |
No comments:
Post a Comment