Breaking News: Siku Mbili Baada ya
Prof. Muhongo Kujiuzulu Tume ya Ramani na Madini Duniani Yamteua Kuwa Mtendaji
Mkuu wa Tume Hiyo
Siku
Mbili tu. Baada ya profesa Sospeter Muhongo kujihuzuru nafasi ya waziri wa
nishati na madini hii JanaTume ya Ramani na Madini Miamba na Mawe Duniani yenye
makao makuu nchini Uingereza imemteua profesa Muhongo kuwa mtendaji mkuu wa
tume hiyo pia atafanya kazi kwenye kampuni inayopasua miamba diniani kama
mwenyekiti.
~Source: William Malecela Blog
No comments:
Post a Comment