HABARI KATIKA PICHA – DR. MWELECELE
MALECELA AKIWA MKOANI SINGIDA KUTAFA WANACHAMA WA CCM KUMDHAMINI KATIKA KUGOMBEA
NAFASI HIYO YA URAIS
Dr. Mwelecela Malecela akisaini mmoja ya
vitabu vya wageni katika ofisi ya CCM mkoa wa singida leo majira ya saa 4:52
asubuhi.(Picha na Doris Meghji)
|
Hizo ni kadi za CCM zaidi ya 70 ambazo wadhamini wamemdhamini waliojitokeza kumdhamini Mgombea nafasi ya urais Dr. Mwelecele Malecela leo mkoani Singida.(picha na Doris Meghji) |
Dr. Mwelecele Malecela akisaini vitabu vya wageni leo majira ya saa 4: 52 asubuhi katika ofisi za CCM mkoa wa Singida (Picha na Doris Meghji) |
DR.
MWELECELE MALECELA MGOMBEA NAFASI YA URAIS KWA TIKETI YA CHAMA CHA MAPINDUZI
MWANAMKE WA KWANZA BARA KUGOMBEA NAFASI HIYO AKIWA MKOANI SINGIDA KUPATA
WADHAMINI WATAKAO MDAHAMINI KWA CHAMA HICHO.
AKIWASALIMIA
BAADHI YA WANACHAMA WALIOJITOKEZA
Bi Fatma Nkanghaa akitoa neno leo la kumtia moyo Mgembea nafasi ya urais mwana Mama DR. Mwelecele Malecela Leo aktika ofisi ya CCM mkoa wa Singida( piha na Doris Meghji) |
DR. MWELE AMEWAOMBA WANACHAMA NA WADHAMINI HAO KUSHIRIKIANA NAYE KWA HALI NA MALI HASA KATIKA MCHAKATO HUO WA KUGOMBEA NAFASI HIYO YA URAIS NCHINI.
Hata hivyo idadi ya wadhamini wanaohitajika katika kila mkoa ni wadhamini 45, zaidi ya wanachama 70 CCM wamejitokeza kudhamini mgombea huyo wa nafasi ya urasi kwa chama cha Mapinduzi mkoani Singida ambapo zoezi hilo limefanyika leo makao makuu ya mkoa wilaya ya Singida mjini .
DR. Mwele akiwa ametoka jana mkoani Tabaora kutafuta wahdamini waliomdhanini kwa CCM leo mkoani Singida baada ya zoezi hilo ameelekea mkoani Manyara kudhaminiwa na mwanachama wa chama hicho.
MWISHO.
Dr. Mwelecela Malecela akiwa na baadhi ya wahdanini
waliojitokeza kumdhanini katika nafasi hiyo ya Urais leo ofisi za CCM
mkoa wa Singida (Picha na Doris Meghji)
Dr. Mwelecele Malecela Mgombea wa nafasi ya urais
kwa tiketi ya CCM akimkumbatia Bi Fatma Nkanghaa mara baada ya kutoa neno mara
baada ya kudhaminiwa Mgombea Dr. Mwele.(picha na Doris Meghji)
Ni Dr.
Mwelecela Malecela akionyesha bagi la fomu za ugombea urais leo katika ofisi ya
CCM mkoa wa Singida Mara baada ya wadhamnini hao kumdhani mgombea huyo katika
nafasi hiyo ya urais (picha na Doris Meghji)
|
No comments:
Post a Comment