WAZIRI NYALANDU AWASILI SINGIDA - KUTAFUTA WAHDAMINI WA KUMDHAMINI KWA NAFASI YA URAIS - MKOANI SINGIDA
Ni ndege
ndogo imewasiri katika kiwanja cha ndege cha mkoa wa Singida iliyokuwa
imembebaMh. Waziri wa maliasili na
Utalii Lazaro Nyalandu mmoja wa wagombea
wa nafasi ya urais kwa tiketi ya CCM- kwa lengo la kutafuta wadhamini wa
kudhamini katika kinyang’anyiro hicho.(Picha na Doris Meghji)
Wananchi wakimsubiri
Mh.Lazaro Nyalandu katika viwanja vya Ndege mkoani Singida (Picha na Doris Meghji)
Mh. Lazaro
Nyalandu akiwasalimia wananchi waliofika katika viwanja vya ndege vya mkoa wa
Singida kwa kwa lengo la kudhaminiwa nafasi ya urais akiwa mmoja wa wagombea wa
nafasi hiyo kwa tiketi ya CCM (Picha Doris Meghji)

No comments:
Post a Comment