Na, Doris Meghji Alhamis Oktoba 24, 2013
Singida.
|
Kijana Rasta mmoja wa wafanyabiashara ya nyama ya ngombe soko kuu Singida |
|
Manispaa ya singida Round about
Wafanya biashara wa kitoweo cha nyama
manispaa ya singida walia na hali ngumu ya maisha ya wananchi wa manispaa hiyo
inayofanya kudorora kwa biashara hiyo ya kitowewo kulala hata kwa
siku tatu bila ngombe mmoja kuisha kwa siku katika manispaa hiyo.
Akitoa malalamiko yake kwenye blog hii
mmoja wa wafanyabiashara wa kitoweo hicho kijana maarufu kwa jina la Rata anasema “hali ngumu ya maisha,kodi zimezidi
kwa wananchi hali inayofanya biashara ya nyama kudorora,siku hizi nyama inalala
hadi siku ya tatu ikizidi hapo inabidi niitupe, tumekabia kukopesha wa mama
ntilie angalau tubaki tunawadai tu”alisisitiza kijana huyo.
|
|
|
|
|
No comments:
Post a Comment