![]() |
| Raisi wa Marekani Barack Obama na mkew Michel Obama wakiwasili Afrika kusini kwa ajili ya kuhudhuria safari ya mwisho ya Nelson Mandela |
![]() |
| Askofu Desmond Tutu mshind wa tuzoya nobeli ya amani |
![]() |
| Katibu mkuu mstafu wa Umoja wa Mataifa Koffi Atta Anan akiwa na Askofu Desmond Tutu wakati wa misa maalum ya kumuombea Nelson Mandela |
![]() |
| Baadhi ya wageni waalikwa katika misa ya kumuombea nelson Mandela katika uwanja wa FNB(Soccer city) |
![]() |
| Raisi wa Marekani Barack Obama na mkewe wakifuatilia jambo wakati wa misa maalum |
![]() |
| Pamoja na hali ya hewa kuwa mbaya watu walifuatilia misa waliwa na miavuli |
![]() |
| Winnie Mandela na Graca Michael wakiomboleza msiba |
![]() |
| Winnie Madikizela mandela pamoja na familia yake wakiwasili katika uwanja wa FNB kwa ajili ya misa maalum ya kumuaga baba wa taifa la Afrika Kusini Nelson Mandela |



















No comments:
Post a Comment