Oprah Winfrey pamoja na waombolezaji wengine wakifuatilia maziko ya Rais mzalendo wa kwanza wa Afrika kusini Nelson Mandela kijiji Qunu katika jimbo la Eastern Cape |
Jeneza lililobeba mwili wa Raisi wa kwanza wa Afrika kusini likiwa linawasili eneo la maziko katika kijiji cha Qunu |
Jeneza likiwa limepambwa kwa bendera ya Afrika kusini pia chini pakiwa pametandikwa ngozi ya ng'ombe |
Hapa ndipo ilifanyika sala kabla ya kuelekea makaburini |
Mizinga ishirini na moja ilipigwa kuonesha heshima kwa Rais wa kwanza mzalendo Nelson Rolihlahla Mandela |
Rais mstaafu wa Afrika kusin Thabo Mbeki akisalimia na Askofu mstaa na mshindi na tuzo yz amani ya Nobel Desmond Tutu |
Muombolezaji akifuatilia maziko kijijini Qunu |
Mjane wa Nelson Rolihlahla Mandela,Graca Machael akiwa na majonzi wakati wa mazishi |
Hapakuwa na tofauti, Winnie Madikizela Mandela akimshika Graca Michael kuaga jeneza na Rais mzalendo wa kwanza Nelson Rolihlahla Mandela |
Mandle Mandela kiongozi wa kimila wa ukoo wa Mandela |
Rais Jacob Zuma akihutubia waombolezaji |
Winnie Madikizela Mandela,Rais Jacob Zuma na mjane wa Rais mstaafu wa Afrika kusini Nelson Rolihlahla Mandela Graca Michael wakiwa na nyuso za huzuni |
R.I.P TATA NELSON ROLIHLAHLA MANDELA
1918-2013
No comments:
Post a Comment