Advertssssss

Advertssssss

Menu drop

Tuesday, May 24, 2016

TOC YATOA MAFUNZO YA UONGOZI NA UTAWALA KWA WALIMU NA VIONGOZI WA MICHEZO MKOANI SINGIDA



Na, Doris Meghji Jumanne Mei 24, 2016
Singida

Mafunzo ya kuwajengea uwezo walimu  wa michezo na viongozi wa vyama mbali mbali wa michezo mkoani Singida yameanza leo kwa Kamati ya Olimpksi Tanzania (TOC) kutoa mafunzo ya uongozi na utawala ili kuweza kuendeleza michezo hiyo nchini
lengo likiwa ni kuvumbu na kuendeleza vipaji  nchini  kwa washiriki 30 kupewa mafunzo hayo  ambayo yatadumu kwa muda wa siku tano mkoani hapo

Tuesday, May 17, 2016

SINGIDA KUWA KITUO CHA MECHI YA LIGI YA MABIGWA WA MIKOA - MIKOA SABA KUPANGIWA SINGIDA


Na, Doris Meghji Jumanne Mei 17,2016
Singida
Jumla ya timu saba  za mabingwa wa mikoa toka mikoa ya Arusha, Dodoma,Manyara, Kilimanjaro, Kagera,Tabora na Njombe  zinatarajiwa kuingia Mei 20  mkoani Singida tayari kwa kuanza mechi za ligi ya kutamfuata bingwa wa mabingwa kupitia kituo cha Singida
 Wadaua na wapenzi wa soka mkoa wa singida wameishukuru TFF kuufanya mkoa wa Singida kuwa moja ya kituo cha mechi za ligi hiyo kwa kuzikaribisha timu hizo kutoka mikoa hiyo

Tuesday, May 10, 2016

HALI YA USAFI INAHITAJIKA KATIKA MANDA WA NJIA PANDA- MKOA WA SINGIDA

Na, Doris Meghji Jumanne  MEI 10,2016
Singida

Hali ya usafi katika mnada wa njia panda unaoziunganisha halmashauri za Ikungi na Singida vijijini kata ya Mugh'amu unahitajika katika kulinda afya za watuamiaji wa mnanda huo mkoani Singida
licha ya mnada huo kuipatia halimashauri  mapato ya ndani kila Jumamosi baadhi ya wananchi wa eneo hilo wanaiomba halmashuri hiyo kuangalia suala la usafi hasa upatikanaji wa maji katika eneo la machinjio ikiwa ni pamoja na vyoo eneo hilo

Wananchi na wakazi wa eneo la njia panda eneo ambalo ni maarufu hasa  siku za Jumamosi kwa uwepo wa na mnada ambapo wananchi mbali mbali hufika kupata mahitaji

INSERT:
1.ISMAILY JUMA RANGI MKAZI WA NJIA PANDA
2.SAUMU RAJABU MKAZI WA NJIA PANDA
Kero hizi sitatuliwa vipi ili kulinda afya za wananchi na watumiaji wa manda huo Eliaha Diga ni Mwenyekiti wa halmashuri ya wilaya ya Singida
INSERT:
ELIAH DIGHA MWENYEKITI WA HALAMSHURI YA WILAYA YA SINGIDA

Kutoka Singida mimi ni Doris Meghji wa AZAM NEWS

Thursday, January 28, 2016

VIVUTIO VYA UTALII VYATAKIWA KUAINISHWA - MKOANI SINGIDA

Na, Doris Meghji Jumamosi Januari 23,2016
Singida

Serikali NCHINI yaombwa kuviainisha VIVUTIO  MBALI MBALI VYA VYA UTALII  ili kusaidia sekta ya utalii ikue katika uendeleazaji wa sekta  hiyo nchini
Ombi hilo limetolewa na mmoja wa wawekezaji  katika sekta ya utalii kwenye eneo  hoteli mkoani singida ili kusaidia kuongeza ajira nchini

Uwekezaji  wa hoteli  ni moja ya sekta zinazotatua changamoto ya ajira kwa kuajiri wananchi nchini,hivyo serikali yaombwa kuanisha VIVUTIO ili kusaidia ukuaji wa Sekta hiyo

INSERT
KITILAELI KATALA MWEKEZAJI WA HOTELI YA KBH MKOANI SINGIDA

Kwa uapande wa utoaji ajira wa sekata hiyo Kitila anashauri.

INSERT

KITILAELI KATALA MWEKZAJI SEKTA YA HOTELI MKOA WA SINGIDA

Katika kulitolea maelezo suala la uainishaji wa VIVUTIO HIVYO Afisa maliasili mkoa wa Singida  CHARELES KIDUA kwa kushirikiana na Wizara ya maliasili na utalii jumala ya vivutio 22 vimetambuliwa mkoani Singida kazi ya uhariri na maelezo muhimu unaendelea,pindi kazi hiyo ikikamilika vivituio hivyo vitawekwa hadharai kwa wadau wote wa sekta ya utalii mkoani hapa
MWISHO

Saturday, January 23, 2016

LIGI DARAJA LA TATU - TIMU 12 ZA SHIRIKI LIGI HIYO MKOANI SINGIDA




Na, Doris Meghji  Jumapili  Januari 17,2016
Singida

Mechi za ligi daraja la tatu, mashindano ya timu za mikoa yameanza wiki hii kwa timu mbali mbali kutimua vumbi kwenye mikoa nchini
Mkoani singida jumla ya timu 12 zinashiriki mashindano hayo,ambapo timu ya Stand Misuna ya singida mjini  imeichapa RV sposts club 5 kwa 0 kwenye mechi yao jana iliyochezwa mchana huku timu ya Mlimani FC   ya Manyoni na Saba saba ya singida mjini kutoka sare kwa  KUFUNGANA magoli mawili kwenye mechi hizo.

MAONI YA WAPENZI SOKA MKOANI SINGIDA JUU YA SAMATA - KATIKA KULITANGAZA TAIFA LA TANZANIA KWENY ULIMWENGU WA SOKA


 Ni maoni ya baadhi ya wapanzi  na wadau wa Soka mkoani Singida juu ya tuzo ya Mbwana Samata kulitangaza taifa la  Tanzania katika ulimwengu wa soka.
Mwisho

Monday, January 11, 2016

TANSIA YA FILAMU MIKOA YA PEMBEZONI YAPATA CHANGAMOTO YA KUTOUNGWA MKONO NA WAPENZI NA WADAU WA SANAA HIYO MKOANI SINGIDA

Na, Doris Meghji Jumatatu Januari 11,2016
Singida
Tansnia ya sanaaa ya  filamu  nchini bado inakabiliwa na changamoto ya kutoungwa mkono toka kwa wadau na wapenzi wa sanaa ya filamu hasa kwa wasanii wa mikoa  ya pembezooni licha ya sanaa hiyo kutoa fursa ya ajira kwa vijana wengi.
Mmoja wa wasanii wa filamu mkoani Singida amewaomba wadau na wapenzi wa filamu kuwaunga mkono katika kazi yao ya sanaa ambayo wameitoa kwa sasa ya THE PROSIME OF THE PAIN.

Taarifa zaidi na Doris Meghji 

Upsound
Sarah Mshana
Msanii wa sanaa ya filamu mkoa wa Singida

kwa upande wa wananchi wa mkoa wa Singida wanatoa maoni gani katika kuendeleza sanaa hiyo
INSERT:
1.REHEMA SHILLA DIWANI WA VITI MAALUM CCM MANISPAA YA SINGIDA 

2. ROSEMARY KISHEKE MKAZI WA MANISPAA YA SINGIDA 

kutoka Singida Doris Meghji