Habari kusikitisha zilizotufikia jioni hii zinasema kuwa mjumbe wa Tume ya Madadiliko ya katiba Dr Sengondo Mvungi amefariki dunia leo katika hospitali ya Milpark nchini Afrika kusini alikokuwa akitibiwa baada ya kuvamiwa na watu wanakisiwa kuwa tisa(9) nyumbani kwake Kibamba,Dar es Salaam
R.I.P Dr Sengondo Mvungi 1952-2013 |
No comments:
Post a Comment