hii ni dalili ya msimu wa mvua kuuanza wananchi wa manispaa ya singida nimuda wa kuandaa mashamba |
Ni mazao ya kipaumbele ya mtama,uwele,viazi vitamu mhogo bila kusahau alizeti,na vitunguu maji kwa ardhi na uchache wa mvua za mkoa wa singida.
maandalizi ya mashamba ni sasa hasa kwa mvua za mkoa huu |
Ewe mkulima wa mkoa huu wa singida huu ndio muda wa maandalizi ya mashamba kwa ajili ya msimu wa kilimo mwaka 2013 - 2014.
No comments:
Post a Comment