|
kutoka ukurasa wa Instagram wa Vatican ukiwa umeshare picha ya mtoto huyo"The boy in yellow" akiwa amekaa kwenye kiti cha Baba Mtakatifu Francis, wakati wa misa ya familia katika viwanja vya St. Peters Square |
|
Kiongozi wa kanisa katoliki duniani Papa Francis alikuwa alikuzungmza mbele ya umati mkubwa wa wanafamila katika viwanjwa vta St Peters Square Vatican,. Mtoto huyo alipanda jukwaani na kumzunguka Papa pasipo kufanya fujo yeyote. |
|
Wasaidizi wa Papa Francis walifanya juhudi za kila aina kumuondoa hapo jukwaani lakini ilishindikana.Papa alitabasamu na kumuacha aendelee kufurahi karibu yake.
|
Mtoto akiendelea kuzunguka jukwaani wakati Papa Franscis akitoa neno kwa wanafamilia |
|
Kuna wakati mtoto huyo"The boy in yellow"alimkumbatia Papa miguu lakini Papa alimwacha aendelee |
|
Baada ya tukio hili Vatican ili-share picha ya mtoto huyo katika ukurasa wake wa Instagram ikimuonyesha mtoto huyo akiwa amekaa katika kiti cha Baba Mtakatifu Francis na kuandika "A special guest with#Pope Francis.
|
Papa Francis akifurahi na "Special guest boy in yellow" |
Kiongozi
mkuu wa kanisa Katoliki Papa Francis alikuwa akizungumza mbele ya umati
mkubwa wa familia mbalimbali zilizohudhuria sherehe za siku ya familia.
Baada ya mtoto huyo kupanda jukwaani alienda mbele ya papa na kumtazama
na kuzunguka hapa na pale japo hakufanya fujo ya aina yoyote.
Makadinali
walijaribu kutumia njia za kumshawishi kutoka kama kumpatia pipi,
lakini mtoto huyo aligoma kuondoka. Papa alimgusa kichwani na kutabasam
akamwacha na kuendelea na alichokuwa akikifanya.
- See more at: http://shiladeux.blogspot.com/2013/11/picharaha-ya-utotomtoto-akalia-kiti-cha.html#sthash.cR8OVzeN.dpuf
No comments:
Post a Comment