Na, Doris Meghji Jumanne Julai 07,2015
Singida – ASKOFU KUSIMKWA
|
Watumikizi wakiwa tarayi kwa
maandanamano ya kelekea Mabula stand kwa ajili ya sherehe na misa takatifu ya
Kumsimika Mhashamu Askofu Edrwad Mapunda (Picha na Doris Meghji)
|
Kanisa Katoliki Jimbo la Singida limemsimika
rasmi Mhashamu Askofu Edwad Mapunda
Kuwa askofu na kiongozi wa kanisa hilo mkoani Singida akiwa padre kwanza kusimkwa kuwa askofu toka jimbo katoliki la
Singida.
|
Jopo la Maaskofu toka majimbo zaidi ya
35 wakielekeza Mabula Stand eneo ambalo Misa takatifu ya kumsimika Mhashamu
Askofu Edward Mapunda wa Jimbo katolikila Singida 9 Picha na Doris Meghji)
Katika sherehe za kumsika Mhashamu baba
Askofu Edward Mapunda Mhashamu baba
askofu Mapunda ambaye kauli mbiu
yake ya Umoja na Mapendo amehaidi kushikiana vizuri na maaskofu wenzeke
kwa kuomba ushauri kwa viongozi hao wakuu wa kichungaji katika daraja hilo
takatifu la Uaskofu.
|
|
Padre Francis Limu kushoto katikati
Mhashamu Askofu Edward Mapunda wakielekea Mabula Stand katika misa takatifu ya
mkusimikwa kwa Mchungaji mkuu huyo jimboni katoliki Singida ( Picha na Doris
Meghji)
Aidha kwa upande mwengine amesema atashirikiana
vizuri na viongozi mbali mbali wa serikali,vyama vya siasa viongozi wa dini na
madhebu mbali mbali katika kuliongoza taifa la Mungu katika nafasi hiyo ya
kichungaji jimboni Singida ikiwa ni pamoja na kuendeleza mazuri yote ayalioachwa
na Mhashamu Askofu Desiderius Rwoma ambaye kwa sasa ni askofu wa jimbo katoliki
la Bukoba.
|
|
Brass band toka seminari ya Rubya jimbo
katoliki la Bukoba ikitumbuiza katika sherehe hizo za kumsika askofu Edrwad
Mapunda ( Picha na Doris Meghji)
Awali Askofu mkuu Franscis Padilla Balozi wa
baba Mtakatifu nchini Tanzania amempongeza Askofu Edward Mapunda kwa kusimikwa
rasmi kuwa askofu na mchungaji mpya wa jimbo katoliki la Singida kwa kuwa yeye
ndio chagulo la Mungu alilomchagua uliongoza kanisa hilo.Hivyo amewataka
waumini na kanisa kwa ujumla kumpokea na kumuombea kiongozi wao na kumkubali na kumtaka
Mhashamu askofu Mapunda kuwa kiongozi na sio kujiona yee ni goliati bali awe
mfano wa mchugaji mwema |
|
Jopo la Maaskofu toka majimbo zaidi ya
35 wakielekeza Mabula Stand eneo ambalo Misa takatifu ya kumsimika Mhashamu
Askofu Edward Mapunda wa Jimbo katolikila Singida 9 Picha na Doris Meghji)
hivyo amemtaka ashrikiane vizuri na
viongozi wa serikali na jamii kwa kuwa wao
wanahitaji sana msaada wa kanisa katika kuiongoza jamii amemtaka asililiza pale
anapotakiwa kusikiliza na kuongea atakapotakiwa kuongea huku akitakiwa kisimama
katika kweli na haki bila ubaguzi wowote.
|
|
Kwaya ya shirikisho ya jimbo katoliki la
Singida ikitumbuiza katika Misa Takatifu ya kumsimika rasmi Mhashamu Askofu
Edward Mapunda ( Picha na Doris Meghji)
Kwa upande wake Mkuu wa mkoa wa Singida
Daktari Parseko Kone akiwa mgeni
mahusisi katika Kusimikwa kwa Mhashamu Askofu Mapunda ameomba kuliomba taifa
hili la Tanzania amani usalama na utulivu katika pindi hii cha uchaguzi cha
uchagua rais wabunge na madiwani hivo serikali ya mkoa wa Singida itaendelea
kutoa ushrikiano nakuomba ushauri pale watakapo hitaji kwa kanisa hilo.
|
|
Kwaya ya shirikisho ya jimbo katoliki la
Singida ikitumbuiza katika Misa Takatifu ya kumsimika rasmi Mhashamu Askofu
Edward Mapunda ( Picha na Doris Meghji)
|
|
Mpiga kinanda akikitekenya kindanda kwa
madaha wakati wa kumsimika rasmi mhashamu Askofu Edward Mapunda kwenye sherehe
za kusimikwa kwake ( Picha na Doris Meghji)
MWISHO.
|
|
Ally Amanzi Mkuu wa wilaya ya Singida,
Dr. Titus Kamani waziri wa uvuvi na Mifugo, Dr. Parseko Kone Mkuu wa mkoa wa
Singida, Ernest Mangu IGP na Jaji Chocha ( Picha na Doris Meghji)
|
|
Kaimu rasmi, Aziza,DC ALLY Amanzi,Titus
kamani waziri wa Mifugo na uvuvi katika sherehe za kumsimika Askofu Edward
Mapunda ( Picha na Doris Meghji)
|
|
Katikati ni DC wa Urambo Queen Mulozi,
Hakimu Mfadiwidhi mkazi wa mkoa wa singida Mama Minde,Mwenyekiti wa halmashauri
ya wilaya ya IKUNGI Celestine Iyunde ( Picha na Doris Meghji)
|
|
RPC Sodeyeka kushoto katikati nai Mbunge
viti maalum Christowaja Mtinda DC wa
Meatu Erasto Sima katika kumsimka Mhashamu Askofu Edward Mapunda ( Picha na
Doris Meghji)
|
|
Wa pili ni Mhashamu Akofu Edward Mapunda
kabla ya kusimikwa rasmi utume huo wa kuwa kiongozi na mchungaji mkuu wa kanisa
katoliki Jimbo la Singida( Picha na Doris Meghji)
|
|
Dr. Titus Kamani waziri wa uvuvi na Mifugo, Dr.
Parseko Kone Mkuu wa mkoa wa Singida, Ernest Mangu IGP na Jaji Chocha ( Picha
na Doris Meghji) |
|
Askofu mkuu wa jimbo katolii la Tabora
Paulo Ruzoka,katikati kushoto ni Askofu Desiderius Rwoma askofu wa jimbo
katoliki la Bukoba na kulia ni Asofu mkuu Ngalekumtwa wa jimbo Iringa katika
kuanza taratibu za kumsimika Askofu Mapunda ( Picha na Doris Meghji)
|
|
Askofu Edward Mapunda akipakwa mafuta
baada ya kusaliwa litania ya watakatifu wote tayari kwa kusimikwa rasmi daraja la uaskofu ( picha na Doris
Meghji)
|
|
Askofu Edward Mapunda akiwekewa mikono
ya Baraka na Maaskofu waliofika katika sherehe za kusimikwa kwake ( Picha na
Doris Meghji)
|
|
Askofu Edward Mapunda akijiandaa kulala kifudi fudi kwa ajili ya
kusaliwa litania ya watakatifu wote kabla ya kusimikwa rasmi kuwa Kiongozi na
mchungaji mwema wa Kanisa hili ( Picha na Doris Meghji)
|
|
Zawadi ya gari jipya aina ya Toyota
Prado aliyokabidhiwa katika kusimikwa kwake (picha na Doris Meghji)
|
No comments:
Post a Comment