Daraja la Dumila wilayani Mvomero likiwa limekatika baada ya mvua kubwa kunyesha na kusababisha maafa mkoani Morogoro |
Mafuriko yalivyosomba daraja hilo |
Wasafiri wakiwa wamekwama kusafiri baada ya daraja kusombwa na maji. |
Mvua kubwa
iliyonyesha wilayani Mvomero, Morogoro usiku wa kuamkia jana imesababisha
madhara makubwa ikiwemo kukatika kwa daraja la Dumila linalounganisha barabara
za Morogoro na Dodoma na kusababisha watumiaji na wasafari wa barabara hiyo kukwama.
No comments:
Post a Comment